Admin

Matawi CRDB kufungwa kwa muda ili kuboresha huduma

Dar es Salaam. Benki ya CRDB imetangaza kufunga huduma katika matawi yake yote kwa siku tatu kuanzia Septemba 5 hadi 7 mwaka huu. Kufungwa kwa matawi hayo kunalenga kutoa nafasi kwa wataalamu kufanya maboresho na kuweka mifumo ya kisasa ili kuongeza ufanisi huduma zinazotolewa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na benki hiyo kwa umma, ndani…

Read More

Biashara ya mkaa yapaa, kuni ikiporomoka

Dar es Salaam. Katika kipindi cha miaka mitatu mfululizo, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeripoti kuwapo kwa ongezeko la fedha zinazotumika kununua mkaa kwa zaidi ya mara mbili. Katika ripoti tofauti za uchumi wa Kanda za BoT, zinaonesha mauzo ya mkaa yaliongezeka kutoka Sh3.5 bilioni katika mwaka ulioishia Machi 2023, hadi Sh7.6 bilioni katika mwaka…

Read More

Matawi ya CRDB kufungwa kwa siku tatu nchi nzima

Dar es Salaam. Benki ya CRDB imetangaza kufunga huduma katika matawi yake yote kwa siku tatu kuanzia Septemba 5 hadi 7 mwaka huu. Kufungwa kwa matawi hayo kunalenga kutoa nafasi kwa wataalamu kufanya maboresho na kuweka mifumo ya kisasa ili kuongeza ufanisi huduma zinazotolewa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na benki hiyo kwa umma, ndani…

Read More

Chaumma yaahidi kuvalia njuga migogoro ya wakulima na wafugaji

Morogoro. Mgombea mwenza wa urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devotha Minja ameahidi kuwa iwapo chama hicho kitaaminiwa kuunda Serikali, ndani ya siku 100 za kwanza, kitachukua hatua dhidi ya wale aliowaita mapapa wa ardhi waliomilikishwa maeneo makubwa na kusababisha migogoro kwa wananchi. Akihutubia wananchi wa Jimbo la Kilosa mkoani Morogoro leo Jumatano…

Read More

Abiria treni ya Ubungo walalamikia ubovu wa reli, giza usiku, kung’atwa na mbu

Dar es Salaam. Abiria wanaotumia treni ya Kariakoo kwenda Ubungo maarufu kama Treni ya Mwakyembe wamelalamikia ubovu wa kipande cha reli kutoka Barabara ya Mandela hadi Kwa Mnyamani, Buguruni, hali inayowafanya kurushwarushwa na kugongana wakati wa safari. Wakizungumza na Mwananchi Digital kwa nyakati tofauti, abiria hao wameiomba TRC kuitupia jicho reli hiyo kabla haijasababisha maafa….

Read More