Mradi wa KKKT wazalisha umeme, wanufaisha vijiji saba Makete
Njombe. Wananchi wa vijiji saba wilayani Makete mkoani Njombe wananufaika na upatikanaji wa umeme wa uhakika kufuatia mradi wa uzalishaji umeme wa Ijangala uliofadhiliwa na Wakala wa Umeme Vijijini (Rea). Umeme unaozalishwa katika mradi huo unatajwa kusaidia kuongeza upatikanaji wa umeme wa uhakika pamoja na kutoa ajira kwa wananchi wa eneo hilo. Hayo yameelezwa leo…