
Jamhuri iko freshi, meneja aita mashabiki
Zikiwa zimebaki takriban wiki mbili na ushei kabla ya kurejea kwa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Jamhuri uliopo mjini Dodoma upo tayari baada ya awali kufungiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutokana na matatizo mbalimbali. Meneja wa uwanja huo, Hussein Muhondo amesema dimba hilo ambalo linatumiwa na Dodoma Jiji limeshafanyiwa marekebisho na kwamba kwa…