
CCM Geita yazindua kampeni zake, mshikamano ukisisitizwa
Geita. Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita, Jumanne Septemba 2, 2025 kimezindua kampeni za kuinadi Ilani ya CCM 2025-2030 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Kampeni hizo zinazinduliwa wakati majimbo saba kati ya tisa na kata 92 kati ya 122 mkoani humo, wagombea wao wanasubiri kupigiwa kura za Ndiyo na Hapana. Akizungumza katika uzinduzi huo…