ASEC yafunguka usajili straika Simba
SIMBA inapiga hesabu za kumchukua staa wa ASEC Mimosas, Souleymane Fofana ambaye ni mjuzi wa kufumania nyavu kwa mabao ya viwango. Sasa uongozi wa klabu yake umefunguka namna ya kukamilika kwa dili hilo. Simba inapiga hesabu kali za kumsajili mshambuliaji Fofana anayeichezea ASEC…