Admin

Yanga, Simba zapishana na mamilioni CAF

Hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu wa 2025/2026 inaanza wiki hii bila uwepo wa klabu za Tanzania kwa vile klabu za Yanga, Simba, Azam na Singida Black Stars zimeishia katika hatua ya makundi. Timu hizo nne za Tanzania hasa Simba na Yanga ni kama zimepishana…

Read More

Pata ODDS Zote za Simba Ndani ya Meridianbet

Meridianbet inakwambia kuwa unaweza ukabashiri mechi zote za Simba ambapo ODDS zao ni kubwa lakini pia mechi hiyo inakuwa na machaguo unayoyapenda. Jisajili na ubashiri sasa. Kwenye ligi kuu ya Tanzania yaani (NBC Premier League), Simba imekuwa ikikumbwa na mwenendo usio thabiti wa matokeo. Kumekuwa na vipindi vya ushindi vinavyofuatwa na matokeo yasiyoridhisha, hali iliyosababisha…

Read More

Dkt. Mwigulu: Wanafunzi Bora Kusomeshwa Nje Kupitia Samia Scholarship

Global Publishers March 10, 2026 0 Comments WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema wanafunzi watakaofaulu kwa viwango vya juu watanufaika na ufadhili wa masomo kupitia mpango wa Samia Scholarship unaotolewa na Serikali. Dkt. Mwigulu amesema hayo wakati akizungumza na wanafunzi katika ziara yake mkoani Rukwa, ambapo pia aliwasilisha salamu maalum…

Read More

Wataalamu wa fedha SADC wajadili  kuongeza bajeti

Dar es Salaam. Wataalamu wa masuala ya fedha kutoka nchi wanachama wa Jumuiya Maendeleo ya Kusini mwa nchi za Afrika  (SADC) wamekutana jijini Pretoria nchini Afrika Kusini kujadili hali ya kifedha ya jumuiya hiyo pamoja na mikakati ya kuongeza vyanzo vya mapato ili kuimarisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya kikanda. Taarifa iliyotolewa na Wizara…

Read More