Admin

Manyika aingia Namungo na mkakati wa kufuta rekodi mbovu

Rekodi ya Namungo kuwa na wastani wa kuruhusu mabao 30+ katika kila msimu ndani ya misimu sita iliyoshiriki Ligi Kuu Bara tangu 2019-2020, imemfanya kocha wa makipa wa kikosi hicho, Peter Manyika, kuingia na mpango kazi maalum. Manyika amesema katika kuhakikisha lango la timu hiyo linakuwa salama zaidi, anapambana kuwaandaa vijana wake kuwa katika kiwango…

Read More

Kocha Fountain Gate Princess azitaka Simba, Yanga

KOCHA wa Fountain Gate Princess, Noah Kanyanga amesema mikakati ya timu hiyo ni kuhakikisha inarudi kwenye makali yake na kupambania ubingwa mbele ya vigogo Simba Queens na Yanga Princess. Kanyanga aliwahi kuzifundisha Ceasiaa Queens, Mburahati Queens, Gets Program na sasa Fountain Gate aliyoanza nayo mwishoni mwa msimu uliopita. Akizungumza na Mwanaspoti, alisema msimu uliopita haukuwa…

Read More

Baridi La Niña inaweza kurudi, lakini hali ya joto ya ulimwengu imeongezeka: WMO – Maswala ya Ulimwenguni

Takwimu za hivi karibuni zilizoshirikiwa na Shirika la Meteorological Duniani (WMO) inaonyesha uwezekano wa asilimia 55 kwamba joto la uso wa bahari kwenye Pacific ya ikweta lita baridi hadi viwango vya La Niña kutoka Septemba hadi Novemba. Kuhusu Asilimia 90 ya joto kupita kiasi kutoka kwa ongezeko la joto duniani huhifadhiwa baharinikufanya maudhui ya joto…

Read More

Yanga kuzindua ‘Tunapiga kichwani’ kesho Dar

Yanga itazindua tamasha la Wiki ya Mwananchi kesho katika Viwanja vya Zakhem vilivyopo Mbagala jijini Dar es Salaam huku ikithibitisha kuwa baadhi ya tiketi zimeisha. Meneja wa Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe amesema katika uzinduzi huo watataja majina ya wasanii watakaonogesha kilele Cha tamasha hilo litakalofanyika Septemba 12. Kamwe amesema wamefanya maboresho makubwa kuelekea kilele…

Read More

Akutwa ameuawa, mwili kutelekezwa relini Kigoma

Kigoma. Mtu mmoja mwanamume amekutwa ameuawa kwa kukatwakatwa kwa panga sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiojulikana, kisha mwili wake kutelekezwa katika Mtaa wa Butunga relini, Kata ya Kibirizi. Agosti 31, 2025, mwili wa mtu huyo aliyekadiriwa kuwa na umri wa miaka 45 mpaka 50 ulikutwa katika mtaa huo na watu waliokuwa wakipita kuelekea…

Read More