Lile pati la Mbeya City ndo leo

MASHABIKI wa Mbeya City Jumamosi hii watajumuika pamoja kwenye pati ya kuipongeza timu hiyo kupanda Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao, huku ikipambwa na burudani mbalimbali ikiwamo wasanii wakongwe wa muziki wa kizazi kipya. Shangwe hilo limepangwa kufanyika kwenye Ukumbi wa City Pub Kiotani ambapo wanachama, mashabiki na wapenzi wa Mbeya City watajumuika pamoja kujipongeza…

Read More

CCM yazindua Ilani mpya, kugusa maeneo haya nyeti

Dodoma. Makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamesema Ilani ya Uchaguzi ya 2025-2030 iliyozinduliwa leo imegusa maisha na changamoto za Watanzania na kwamba, kwa uwezo na umahiri wa wagombea wake inatekelezeka. CCM imezindua Ilani hiyo leo Mei 30 kwenye mkutano mkuu wake maalumu jijini Dodoma, huku ikitaja mkakati wa kuongeza ajira, ukuzaji wa haki na…

Read More

Mapya yaibuka waliomgombania Mwijaku, mmoja atupwa lupango

Dar es Salaam. Mmoja kati ya wanafunzi watatu kutoka vyuo vikuu tofauti tofauti jijini Dar es Salaam, waliodaiwa kum-shambulia mwenzao wakimgombania msanii na mtangazaji wa vipindi vya redio, Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku, ameswekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana katika kesi ya jinai inayomkabili na wenzake hao. Mwanafunzi huyo Mary Gervas Matogo-lo (22), mwanafunzi wa…

Read More

Ilani mpya ya CCM yabeba vipaumbele tisa

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Kamati ya Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Profesa Kitila Mkumbo amesema ilani ya uchaguzi ya chama hicho ya mwaka 2025/2030 imebeba vipaum-bele tisa ikiwemo kuboresha maisha ya watu na ustawi wa jamii. Vipaumbele vingine ni kuchochea mapinduzi ya kisasa, fungamanishi, jumuishi na shindani uli-ojengwa katika msingi wa kuongeza thamani…

Read More

Wabunge wataka mkono wa sheria kwa wasanii wenye mavazi ya aibu

Dodoma. Wabunge wameishinikiza Serikali kuweka msimamo thabiti katika kuwalinda watoto na kizazi cha sasa, wakieleza kuwa maadili yameendelea kuporomoka kwa kiwango cha kutisha. Baadhi yao wamependekeza kuchukuliwa kwa hatua kali dhidi ya wale wanaobainika kufanya vitendo viovu vinavyoharibu maadili ya jamii. Kauli za wabunge zilitolewa wakati wa mjadala wa hotuba ya makadirio ya mapato na…

Read More

BALOZI.DKT. MWAMPOGWA ASIPOGOMBEA UBUNGE UCHAGUZI MKUU WA 2025 ATAWAKATISHA TAMAA WATOTO WA MASIKINI VIJIJINI

……. Na: Mwandishi Maalum. Je, unamfahamu Balozi.Dkt. Mohamed Mwampogwa wewe? Kama ndiyo, jambo jema, kama humfahamu, basi fuatana nami katika makala hii fupi kumuhusu kijana huyu mzalendo wa Tanzania. Balozi. Dkt. Mwampogwa ni Mwalimu kwa taaluma, Afisa Sanaa na Utamaduni, Askari wa Jeshi la Akiba nchini, Afisa Mawasiliano ya Umma, Kijana kutoka familia ya kimaskini…

Read More

Msimamo wa Mdee kuelekea uchaguzi ‘tungo tata’

Dar es Salaam. Wakati Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee, akitoa msimamo wake kuhusu Chadema kususia uchaguzi na kueleza mwelekeo wa alichoamua katika kugombea ubunge, baadhi ya wachambuzi wa masuala ya siasa wamekuwa na mtazamo tofauti. Mdee ametoa msimamo wake huo jana, Ijumaa Mei 23, 2025, katika mahojiano yake maalumu na Shirika la Utangazaji la…

Read More