
Msimamo wa Mdee kuelekea uchaguzi ‘tungo tata’
Dar es Salaam. Wakati Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee, akitoa msimamo wake kuhusu Chadema kususia uchaguzi na kueleza mwelekeo wa alichoamua katika kugombea ubunge, baadhi ya wachambuzi wa masuala ya siasa wamekuwa na mtazamo tofauti. Mdee ametoa msimamo wake huo jana, Ijumaa Mei 23, 2025, katika mahojiano yake maalumu na Shirika la Utangazaji la…