TRA YASISITIZA KODI KWA BIASHARA ZA MTANDAONI, WADAU WADOGO WAPEWA MUDA ZAIDI
Na Mwandishi Wetu Michuzi Tv MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesisitiza kutekeleza agizo lake la kutoza kodi kwa biashara za mtandaoni, hususan huduma za malazi (online accommodation), ifikapo Septemba Mosi,mwaka huu 2025 Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Agosti 9, 2025 wakati wa uzinduzi wa kampeni ya elimu ya kodi kwa biashara za mtandaoni, Kamishna…