WASANII WAHIMIZWA KUTUMIA LUGHA YA KISWAHILI KIBIASHARA
Wasanii wa filamu na maigizo nchini wametakiwa kutumia Lugha ya kiswahili kama fursa ya kibiashara kimataifa ili kuongeza tija itokanayo na filamu hizo katika kujiongezea kipato chao Rai hiyo imetolewa na Dkt Godwin Maimu ambaye ni Mkurugenzi mtendaji wa tamasha la kimataifa la filamu za kiswahili (ISFF) wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini…