
Sh5.5 bilioni kuyaongezea ujuzi makundi ya vijana sekta hizi
Unguja. Vijana 711,880 kutoka makundi tofauti wanatarajiwa kuongezewa ujuzi kulingana na fani zao nchini kupitia mradi wa vijana Plus. Mradi huo unaoanza mwaka huu hadi 2026, utawapa fursa vijana katika sekta tofauti wakiwemo wajasiriamali, wasanii na waandishi wa habari ili kuwaongezea ujuzi katika maeneo wanayofanyia kazi kwa kipindi cha miaka mitatu utagharimu Euro 2.2 milioni…