RAIS MWINYI AFUNGUA TRACE AWARDS 2025

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema   Serikali itaendelea  kuwaunga Mkono  Wasanii kwani ni  Muhimu katika Kukuza Utalii, Uwekezaji na Urithi wa Utamaduni miongoni mwa Jamii.  Rais Dkt. Mwinyi amesema hayo alipolifungua  Tamasha la Tuzo za Muziki la Trace Awards kwa mwaka 2025 linalofanyika  Hoteli ya…

Read More

COY ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA (TCA)

Mwanzilishi wa Jukwaa la Ucheshi (Cheka tu) Conrad Kennedy Coy amepewa Tuzo ya Heshima Katika Usiku wa Tuzo za Ucheshi (TCA) unaofanyika Ukumbi wa Superdom Masaki Jijini Dar es Salaam. Coy amekuwa akitoa Mchango wake Mkubwa na Kufanya Mapinduzi ya burudani ya Ucheshi Kipindi cha hivi Karibuni . Aidha Coy amekuwa akilea Wasanii wa Ucheshi…

Read More

WASANII WA FILAMU,WANAHABARI WAZAWA WA MKOA WA TANGA WATUA KUHAMASISHA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA KUPIGA KURA

Na Oscar Assenga, TANGA MABALOZI 23 wa Mkoa wa Tanga unaoundwa na Wasanii wa Filamu,Waandishi pamoja na watangazaji wametua Jijini Tanga kwa lengo la kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la kudumu la Kupiga kura . Akizungumza katika kikao na waandishi wa habari leo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama…

Read More

Marufuku shughuli za kibinadamu mapango ya Amboni

Tanga. Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Japhari Kubecha amepiga marufuku shughuli zote za kibinadamu zinazofanyika katika Hifadhi ya Mapango ya Amboni, kama vile kukata miti, kuchimba mchanga, kwani kufanya hivyo kunaweza kuharibu uhalisia wa eneo hilo. Akizungumza na wananchi waliojitokeza kwenye hafla ya kutangaza vivutio vya utalii kwa Mkoa wa Tanga iliyofanyika katika mapango hayo…

Read More