
Ferooz: Ahoua kaziba pengo la Chama
MSANII wa Bongo Fleva anayejulikana kwa jina la Ferooz ‘Bosi’ humwambii kitu kuhusu mshambuliaji wa Simba, Ahoua Jean Charles aliyekuwa MVP wa Ligi Kuu ya Ivory Coast msimu uliopita na amemtabiria kuandika rekodi ya kibabe mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara. Ferooz amesema ni shabiki wa Simba damu na anavyocheza Ahoua mwenye mabao saba…