Dabi ya Kariakoo yawaibua wabunge, wataka uwazi
Wabunge wameishukia Wizara ya Habari,Sanaa, Utamaduni na Michezo wakitaka itoe majibu ya kina katika mambo matatu likiwemo la kuifanya Bodi ya Ligi (TPLB) ijitegemee badala ya kuwa chini ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Mengine ni kutaka uwazi wa nini kinachoendelea kuhusu mazungumzo ya viongozi wa Timu za Simba na Yanga pamoja na…