
Maelfu kufurika kwenye mkesha wa Mwamposa kwatazamwa kwa sura mbili
Dar es Salaam. Kwa mara nyingine, maelefu ya wakazi jijini hapa na wengine kutoka mikoa na nchi mbalimbali wamefurika katika mkesha uliopewa jina la ‘Kuvuka (mwaka) kabla ya Kuvuka wa kanisa la Inuka Uangaze linaloongozwa na Mtume Boniface Mwamposa, unaotazamwa na wachambuzi wa masuala ya kijamii sura mbili tofauti. Mkesha huo uliofanyika Desemba 13 hadi…