
Maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yapungua
Songea. Hali ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, inaonyesha matumaini baada ya kupungua kutoka asilimia 18 mwaka 2010 hadi asilimia saba mwaka 2022. Pia, kiwango cha ushamiri wa maambukizi ya VVU, imepungua kutoka asilimia saba mwaka 2003/04 hadi asilimia 4.4 mwaka 2022/23. Hayo yameelezwa na Waziri wa Afya,…