
DEEJAY VAL AACHIA DUDE JIPYA MJINI
DJ na Mwanamuziki anayekuja kwa kasi Deejay Val kutoka nchini Nigeria, amedondosha wimbo mpya uitwao LEKKI BADDIE, unaopatikana kwenye EP yake mpya iitwayo FUSION yenye jumla ya ngoma tano. Deejay Val amefanyia remix wimbo huo na wasanii mbalimbali wa Afrika na anaelekea kuteka soko barani Afrika na Ulaya Valentine Ejimbe, maarufu kama Deejay Val, anatoka…