AIRTEL AFRIKA KUKUZA MZIKI WA AFRIKA KUPITIA TRACE AWARDS 2025
Zanzibar, Februari, 2025 – Airtel Afrika imeingia kwenye ushirikiano na wadau wa muziki kukuza vipaji vya muziki Afrika kupitia teknolojia ya mawasiliano ya intaneti ya kasi ili kuhakikisha wasanii wanafikia ndoto zao. Kampuni hiyo ilidhihirisha dhamira hiyo kwa kushirikiana na jukwaa la Trace Awards and Summit 2025 iliyofanyika The Mora visiwani Zanzibar kuanzia Februari 24…