
Wazee miaka 60 kupamba bonanza la michezo MZRH
HOSPITALI ya Rufaa Kanda ya Mbeya (MZRH) imeandaa bonanza la michezo mbalimbali itakayopambwa na wazee wenye umri wa miaka 60 kufukuza kuku na kuvuta kamba. Bonanza hilo linatarajiwa kufanyika Novemba 9 mwaka huu kwenye Viwanja vya Chuo cha Uhasibu (TIA) ikiwa ni kuadhimisha wiki ya upimaji wa magonjwa yasiyoambukizwa. Katibu wa mashindano hayo, Joyce Komba…