Rais Samia aitoa tuzo kwa wahudumu wa afya na Watanzania
Dodoma. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokewa na wakazi wa Dodoma baada ya kutunukiwa tuzo ya Gates Goalkeeper huku akisema tuzo hiyo ni ya wahudumu wa sekta ya afya na Watanzania wote. Tuzo ya Gates Goalkeeper, imeasisiwa na Taasisi ya Bill and Mellinda Gates mwaka 2017 ikilenga kuchochea na kuonyesha juhudi za utekelezaji wa…