Rais wa Moët Hennessy wa Ulaya, Mashariki ya Kati na Afrika, Atembelea Duka la Msanii Jux
Moët Hennessy inaendelea kuthibitisha uwepo wake kwenye soko linalokua la Tanzania ambapo Thomas Mulliez, Rais wa Moët Hennessy kwa Ulaya, Mashariki ya Kati, na Afrika, amezuru nchini Tanzania. Ziara hiyo muhimu imeangazia kuongeza imani ya kampuni hiyo ya kimataifa yenye vinywaji bora kabisa duniani nchini Tanzania kama sehemu inayokuwa kwa kasi na inasisitiza dhamira yake…