Ziara ya SADC Live Your Dream maandalizi yafikia pazuri

Wakati siku zikiyoyoma za kuelekea kwenye Ziara ya Barabarani inayodhamiria kuonesha ndoto za wengi zenye mitazamo chanya yenye kuleta utofauti kwenye jamii mengi yatarajiwa huku maandalizi yakitajwa kukamilika hivi karibuni Ziara ya Barabara ya SADC Live Your Dream ni tukio muhimu ambalo litalenga kukuza ubadilishanaji wa utamaduni, kujieleza kwa nia ya sanaa, Utalii wa SADC…

Read More

Hekaya za mlevi: Kijana elimu haijakufunza kuajiriwa

Dar es Salaam, Kuna wakati kila kijana alitamani kuwa msanii. Hii inatokea baada ya akili ya kijana kumwonesha mjomba wake akisota na shahada zake bila kupata kazi. Lakini pia masikio ya kijana yaliwanasa wale waliopata kazi wakalalamikia hali ngumu ya maisha.  Kwa upande wa pili kijana aliwaona na kuwasikia vijana wasanii wakijigamba na majumba na…

Read More

“Dkt.Tulia amerejesha furaha” Mbunge Fyandomo akoshwa na ushindani,burudani ya Ngoma za asili

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya Suma Fyandomo, amesema mashindano ya ngoma asili yanayoendelea jijini Mbeya yameibua ari na nguvu kwa vikundi na wasanii kuendelea kutoa burudani kupitia ngoma asili ambazo zilionekana zikiendelea kufifia kutokana na nguvu ya muziki wa kizazi kipya (Bongo flava). Ameeleza hayo wakati akiongea Ayo TV pamoja na Millardayo.com jijini…

Read More

Rais Samia: Tusiwakubali wanaotugawa kwa siasa

Songea. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuwakataa wanaotaka kuwagawa kwa sababu za kisiasa au tofauti za kiitikadi. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Septemba 23, 2024 wakati akifunga Tamasha la Tatu la Kitaifa la Utamaduni lililofanyika katika Uwanja wa Majimaji Songea mkoani Ruvuma. Amewasisitiza Watanzania kuwa ni wamoja, wenye nia moja, hivyo hawana…

Read More

Tamasha la utamaduni lilivyobeba umati Ruvuma

Songea. Kama ungepita nje ya Uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma, shangwe zinazosikika ungedhani kuna mchezo wa mpira wa miguu unaendelea. Nderemo na vifijo vinavyosikika vinaakisi furaha ya wananchi ndani ya uwanja huo, baada ya burudani mbalimbali za muziki na kitamaduni zinazopamba tamasha la tatu la utamaduni nchini. Isingewezekana kukaa hata sekunde bila kudemka, kwani kila…

Read More