Benki ya NBC Yashiriki Mbio za Ruangwa Marathon, Yasisitiza Dhamira yake Kuchochea Ukuaji sekta ya Michezo Nchini.

Benki ya Taifa ya Biashara NBC imeshiriki msimu wa pili wa mbio za Ruangwa Marathon 2024 huku ikisisitiza dhamira yake ya kuendelea kuunga mkono jitihada mbalimbali za wadau wa michezo nchini kupitia ushiriki, ufadhili, ubunifu na utoaji wa huduma mbalimbali zikiwemo za kifedha mahususi kwa wadau wa sekta hiyo. Dhamira ya benki hiyo ni sehemu…

Read More

Haki, wajibu wa mpiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa

Dar es Salaam. Uchaguzi wa serikali za mitaa ni miongoni mwa muhimili muhimu wa demokrasia inayowezesha ushiriki wa wananchi katika uongozi wa maeneo yao. Uchaguzi huu unatoa nafasi kwa wananchi kuwachagua viongozi wanaowaamini ili kuleta maendeleo na kuboresha huduma za kijamii katika ngazi za mitaa. Hata hivyo, kwa mpiga kura kushiriki kikamilifu katika mchakato huu…

Read More

Halmashuri ya IFakara Mji yatoa elimu ya mpiga kura

Ikiwa imebaki miezi miwili kufanyika uchaguzi wa Serikaliza mitaa, vitongoji na vijiji kufanyika novemba 27 mwaka huu , halmshauri ya Ifakara Mji Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro imezindua kampeni ya kuhamasisha wahamasisha wananchi kujiandikisha katika daftari la mpiga. Mkuu wa Wilaya Kilombero Wakili Dunstun Kyobya amesema kampeni hiyo inatambulika kama Elimu ya mpiga kura imezinduliwa…

Read More

Wenye ulemavu wataka nafasi uchaguzi serikali ya mitaa

Morogoro. Wakati uchaguzi wa serikali za mitaa ukitarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, watu wenye ulemavu wameiomba Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kuwapa nafasi ya kushiriki kusimamia uchaguzi kama ilivyo kwa watu wengine. Mwenyekiti wa Chama cha Viziwi Wilaya ya Morogoro, Aisha Abdalah amesema ili watu wenye ulemavu huo waweze kushiriki kusimamia uchaguzi, chama…

Read More

MARATHON NI MPANGO MKAKATI WA KUJENGA AFYA ZA WATANZANIA – MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na washiriki wa Ruangwa Marathon 2024  kwenye viwanja vya Madini Ruangwa, Septemba 14, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwaongoza washiriki wa Ruangwa Marathon 2024 iliyoanzia na kuishia katika viwanja vya Madini  Ruangwa, Septemba 14, 2024. Wengine picha na kutoka kushoto  ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi…

Read More