
Umuhimu wa wasimamizi wasaidizi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa
Dodoma. Mwezi huu wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi na wasimamizi wa vituo ambao ni nguzo muhimu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa Novemba 27, 2024 watateuliwa na msimamizi wa uchaguzi. Uteuzi wao umebainishwa kwenye ratiba ya mchakato wa uchaguzi huo iliyotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa…