
VIDEO:Balaa la Mboso alivyopokelewa Bukoba,mashabiki washindwa kujizuia
Msaanii Mbosso kutokea katika record lebal ya WCB amewasilia katika viunga vya manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera na kupitishwa katika maeneo tofauti tofauti ya Manispaa ya Bukoba huku akishare love na mashabiki zake waliojitokeza kwa wingi kumpokea huku wengine wakimsubilia barabarani. Mbosso amewasili Mkoani Kagera kwa ajili ya Show kubwa ya Muleba Festival inayotarajia kufanyika…