
Vijiwe vya Bodaboda kuonyesha kazi Dar, Dom
VIJIWE vya Bodaboda vya jijini Dar es Salaam na Dodoma vinatarajiwa kuchuana katika soka ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Usalama Barabarani nchini. Kamanda wa Kikosi cha Usalama wa Barabarani, Ramadhan Ng’azi ameyasema hayo leo Jumatano, Agosti 21, 2024. Kamanda huyo alikuwa akizungumzia maadhimisho ya Wiki ya Usalama wa barabarani yanaokwenda sambamba na…