
Konshens aibuka na Shek It kideoni
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital MSANII maarufu wa kimataifa wa Jamaika, Konshens, ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Shek It’ ukiwa kwenye audio na video. Konshens ndiye anayeongoza nyimbo nyingi kubwa zaidi za Dancehall za wakati wote duniani, safari hii anajidhihirisha kuwa mkali wa mtindo wa Dancehall. Kibao hicho kimetayarishwa na prodyuza mkali, Costa Rica BomboCat,…