Nchi 128 kuishuhudia Tanzania pokea mastaa wakubwa Afrika na kuzigawa tuzo 2025
Msimu wa Pili wa Tuzo za Trace Music Awards & Summit umezinduliwa Rasmi leo na Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa Tanzania, Zanzibar huku Muziki wa Bongofleva ukipewa heshima kubwa kwa kuweka kipengele maalumu Katika Tuzo hizo na kuwapa nafasi wasanii wa Bongofleva kupata mashavu na kutangaza Muziki wao international Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika February 24-26 mwaka…