
Huku nako pamechangamka! | Mwanaspoti
ACHANA na Dabi ya Kariakoo iliyopigwa jana. Sahau kuhusu Simba Day na Wiki ya Mwananchi matamasha yaliyofanyika wikiendi iliyopita. Kesho na kweshokutwa huko mkoani nako kuna burudani ya kukata na shoka wakati klabu nne tofauti za Ligi Kuu zitakapofanya matamasha ya kuukaribisha msimu mpya wa 2024-2025. Mashabiki wa soka wa mikoa ya Kigoma, Singida, Mwanza…