Hekaya za mlevi: Kijana elimu haijakufunza kuajiriwa
Dar es Salaam, Kuna wakati kila kijana alitamani kuwa msanii. Hii inatokea baada ya akili ya kijana kumwonesha mjomba wake akisota na shahada zake bila kupata kazi. Lakini pia masikio ya kijana yaliwanasa wale waliopata kazi wakalalamikia hali ngumu ya maisha. Kwa upande wa pili kijana aliwaona na kuwasikia vijana wasanii wakijigamba na majumba na…