Shiza Kichuya awataja Chasambi, Balua
WINGA wa JKT Tanzania, Shiza Kichuya amesema zama alizokuwa nazo za ubora kwa sasa zimeisha na anawaona Ladack Chasambi na Edwin Balua wanaokipiga Simba kuwa ndio wachezaji wazuri wanaoweza kurithi ufalme wake, iwapo tu kama watapata nafasi ya kucheza mara kwa mara kwani wanajua. Kichuya aliyewahi kutamba na Mtibwa Sugar, Simba na Namungo mbali na…