
Simba Day bado kidogo iwe full house
MASHABIKI wa Simba hawana jambo dogo hivyo unavyoweza kusema baada ya kubakiza kama robo ya uwanja kabla ya kuujaza Uwanja wa Mkapa zikiwa zimebaki saa tano shughuli ya utambulisho wa kikosi kipya cha msimu ujao haujafanyika. Licha ya nje ya uwanja kuonekana kuwa na mashabiki kibao, ila ndani ya uwanja ni maeneo machache yamebaki ili…