
Fainali ya Wiki ya nenda kwa Usalama kupigwa Kesho DPA.
Na. Mwandishi Jeshi Dar es Salaam. Fainali ya wiki ya nenda kwa Usalama kupigwa Julai 27,2024 katika viwanja vya chuo cha Taaluma ya Polisi DPA ambapo itawakutanisha timu kutoka jimbo la Kibamba na timu kutoka Jimbo la Segerea. Akitoa taarifa ya fainali hiyo leo Julai 26,2024 mratibu wa Mashindano hayo Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Muhidini…