
HISIA ZANGU: Kibu Dennis, udhaifu wetu katika mambo ya msingi
MARA ya mwisho alitokomea katika kambi ya Taifa Stars pale Jakarta, Indonesia miezi miwili iliyopita. Staa mpya katika soka letu. Kibu Dennis. Alitoa sababu kwamba asingeweza kujiunga na kambi ya Stars kwa sababu mwili wake ulikuwa umechoka. Kwamba alihitaji kwenda Marekani kupumzisha mwili wake. kwanini asiende na pesa anayo? Si ndio ulikuwa wakati ule Simba…