
Simulizi waumini wanavyolizwa pesa kanisani-1
Dar es Salaam. Kama ilivyo katika mataifa mbalimbali Afrika, nchini Tanzania, aina mpya ya viongozi wa dini inajitokeza, ikitumia mtaji wa watu maskini kujikusanyia mali. ‘Manabii’ hawa wa kisasa wameigeuza imani kuwa biashara yenye faida kubwa, wakitumia udhaifu wa wafuasi wao kujipatia mamilioni ya fedha. Uchunguzi wa Mwananchi umebaini licha ya ‘manabii’ na ‘mitume’ hawa kuwa…