
Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais jela miaka mwili
Mbeya. Msanii wa sanaa ya uchoraji, Shadrack Chaula (24), aliyekamatwa kwa madai ya kuchoma picha ya Rais Samia Suluhu Hassan na kushtakiwa kwa kosa la kutoa taarifa za uongo, amehukumiwa kulipa faini ya Sh5 milioni au kifungo cha miaka miwili jela. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Shamla Shehagilo leo Julai 4, 2024 katika…