Wamehama kambi | Mwanaspoti
WAPO wanaosema ni kabila tu mtu ndio hawezi kuhama, lakini imani ya dini watu wanahama. Wapo wanaohama vyama vya kisiasa na hata kwa ishu ya uraia wapo wanaohama na maisha yakaendelea freshi tu na huko katika ushabiki wa soka mambo nako ni moto, ingawa hutokea kwa nadra sana. Ndio, kutokana na mchezo maarufu wa soka,…