Diamond Afuta Ujumbe wa Kuoa Mke wa Pili, Mashabiki Washangaa – Global Publishers
Msanii nyota wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa WCB Wasafi, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz. Msanii nyota wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa WCB Wasafi, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz, ameibua maswali mapya mitandaoni baada ya kukanusha taarifa za kuoa mke wa pili, kisha ghafla kufuta ujumbe huo…