Mashabiki Yanga: Kwa kikosi hiki hatuna cha kuhofia
KILELE cha Wiki ya Mwananchi (Yanga Day) kinahitimishwa leo Agosti 4, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kwa klabu hiyo kutambulisha kikosi kipya cha wachezaji na benchi la ufundi. Yanga Day ni siku maalum na klabu ya Yanga inakutanisha mashabiki wake kwa shamrashamra za aina yake huku ikiwatambulisha nyota wapya na benchi…