Charlie Chaplin: Anaendelea kuishi kwa uchale wake
MASHAMBULIZI ya Palestina yanayofanywa na Israel yaliyoua mamia ya watu, huku zaidi ya milioni 2, wakikosa makazibaada ya nyumba zao kuharibiwa, yamewakumbusha watu wa Ulaya na Marekani alichosema msanii wa karne ya 20, Charlie Chaplin. Mchekeshaji huyu wa Uingereza aliyependwa kila pembe ya dunia aliwahi kufukuzwa Marekani kwa kauli zake za kupinga kuundwa taifa la…