
Mambo tisa paredi la ubingwa Yanga, Dar yalipuka
MAFURIKO. Jiji limesimama, hii ni baada ya jana Jumapili Jiji la Dar es Salaam nusu lilikuwa ni kama mali ya Yanga, baada ya timu hiyo kusimamisha shughuli nyingi ikilipitisha Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu Bara baadhi ya maeneo ikikusanya maelfu ya mashabiki wa timu hiyo. Baada ya Yanga juzi ilikabidhiwa kombe la ubingwa huo…