
YOUNG JONN AMVUTA KIZZ DANIEL NA SEAN PAUL KWENYE ALBUM YA “JIIGGY FOREVER”
MTAYARISHAJI wa muziki na msanii wa muziki kutoka lebo kubwa ya muziki nchini Nigeria, Chocolate City, Young Jonn anatarajiwa kuachia albamu yake ya kwanza, iitwayo ‘Jiggy Forever’ Jiggy Forever ni albamu itakayobeba ngoma zipatazo 16, ambapo ina ngoma kama ‘Hold On’ amefanya na rapa Sean Paul kutoka Visiwa vya Caribbean Jamaica, lakini pia amepita kwenye…