Mwigizaji wa filamu kortini akidaiwa kuiba Sh4.6 milioni
Dar es Salaam. Msanii wa zamani wa Kaole na mwigizaji wa filamu nchini, Dorah Mwakatete maarufu kama Kadadaa, amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Kariakoo, Dar es Salaam na kusomewa shtaka moja la wizi wa Sh4.6 milioni. Kadadaa ambaye aliwahi kuwika katika uigizaji miaka ya 2000 akiwa na kundi la Kaole, amefikishwa mahakamani hapo leo,…