
WASHEREHESHAJI WATAKIWA KUTUMIA KISWAHILI FASAHA
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewaasa Washereheshaji kutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha na kuibua misamiati mipya ambayo inaweza kichakatwa na kuwa rasmi katika kukuza lugha hiyo. Mhe. Ndumbaro ametoa rai hiyo tarehe 26, 2024 mjini Songea wakati akifungua mafunzo kwa washereheshaji, wasanii, wapambaji, wazalishaji wa kazi za sanaa ambayo…