
Mtangazaji wa Clouds Gardner afariki, mastaa wamlilia
Dar es Salaam. Kufuatia taarifa ya kicho cha mtangazaji maarufu wa Kampuni ya Clouds Media, Gardner G Habash, watu mbalimbali wakiwemo wasanii na watu wanaomfahamu wametuma salamu za rambirambi kwa familia yake. Gardner amefariki dunia leo April 20,2024 saa 11 alfajiri katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete wakati akipatiwa matibabu ya maradhi yaliyomsumbua. Taarifa ya…