ALIYECHOMA PICHA YA RAIS SAMIA AKAMATWA MBEYA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linamshikilia Kijana Shadrack Yusuph Chaula [24] Msanii wa Sanaa ya uchoraji, Mkazi wa Kijiji cha Ntokela, Wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya kwa kitendo cha kuchoma moto picha ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari Julai 02, 2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa…