
Utamaduni wa Kisiwa cha Papua New Guinea unavyoishangaza dunia
Hivi karibuni, picha za wawakilishi wa Papua New Guinea wakiwa Umoja wa Mataifa (UN) au mikutano mingine ya kimataifa kama COP (Conference of the Parties) zimekuwa gumzo mitandaoni kwa namna ya mwonekano wao wa kiutamaduni katika uwakilishi wao kimataifa. Papua New Guinea ni moja kati ya maeneo yenye urithi wa kipekee zaidi duniani. Kisiwa hicho…