MARTINA THOMAS:NYOTA YA SANAA KANDA YA ZIWA,NI MSANII WA NGOMA ZA ASILI ALIYETEKA HISIA ZA WAZUNGU
Na Mtemi Sona Ukizungumzia sanaa ya ngoma za asili kanda ya ziwa, huwezi kuacha kumtaja mwana dada Martina Thomas. Kama wewe ni Mtazamaji, Martina akiwa jukwaani huwezi kuchoka kutazama jinsi anavyolishambulia jukwaa kwa uchezaji wake mahili na wenye kuvutia. Ni dada ambaye ameteka hisia za wapenzi wengi wa ngoma hizo hasa wazungu kutoka mataifa ya…