Briteni’s Got Talent ililazimika kusitisha onyesho huku shamrashamra za umati zikiwazuia majaji.

Britain’s ot Talent ilikumbana na usumbufu usiotarajiwa wakati wa matangazo yake ya moja kwa moja huku muhtasari wa majaji ulipopokelewa na shangwe kutoka kwa umati ambao ulizima sauti zao. Onyesho maarufu la vipaji la Uingereza, Britain’s Got Talent (BGT), ambalo linajulikana kwa kugundua na kukuza vitendo mbalimbali vyenye vipaji vya kipekee, lilipata usumbufu usiotarajiwa wakati…

Read More

Maendeleo ya kinyumenyume yanatukwaza | Mwananchi

Sanaa na michezo ni sehemu ya utamaduni wa Taifa lolote. Ni kielelezo cha utamaduni, lakini pia hudumisha mahusiano na urafiki baina ya mataifa. Ni kivutio kikubwa cha utalii kwa wageni wanaoingia kwenye Taifa hilo. Kupitia sanaa na michezo wageni huburudika na kujifunza utamaduni wa jamii husika. Katika wakati uliopita, wasanii na wanamichezo duniani kote walikuwa…

Read More

Konde Boy abeti kuchomewa nyumba Yanga ikifungwa

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Rajab Abdul ‘Harmonize’ a.k.a Konde Boy au Jeshi amewapagawisha mashabiki kwa kuwaimba vionjo vya baadhio ya nyimbo zake kisha kumpandisha jukwaani Stephane Aziz Ki mbele ya mashabiki katika Makao Makuu ya klabu hiyo, eneo la Jangwani. Mara baada ya Konde kupanda jukwaani aliwachizisha wanayanga kwa kuimba kionjo cha…

Read More

Afcon 2027 yaipaisha bajeti ya michezo

Hii ni bajeti ya fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 kwa Tanzania kuwa mwenyeji wa michuano hiyo. Hivyo ndivyo unaweza kusema baada Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuongezewa fedha kutoka Sh35.4 bilioni kwa mwaka wa fedha 2023/2024 hadi Sh285.3 bilioni kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Bajeti hiyo kwa mwaka wa fedha 2024/2025, imewasilishwa…

Read More